MAROUF TCHAKEI MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA LİGİ KUU OKTOBA


KIUNGO Mtogo wa Singida Black Stars, Marouf Tchakei ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Mmorocco wa Azam FC, Rachid Toussi akinyakua Tuzo ya Kocha Bora.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA