LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA LEICESTER CITY ANFIELD

Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kuongoza dakika ya tatu 1-1 kabla ya Harry Maguire kuisawazishia Leicester City katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Liverpool inafikisha pointi 61 baada ya sare ya jana katika mechi ya 24, ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tano zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City 


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA