RONALDO NA JUVENTUS YAKE WACHAPWA 3-0 NA KUTOLEWA COPPA ITALIA

Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo akiudhibiti mpira mbele ya beki wa Atalanta katika mchezo wa Robo Fainali Coppa Italia usiku wa jana Uwanja wa Atleti Azzurri d'Italia mjini Bergamo. Atalanta ilishinda 3-0, mabao yake yakifungwa na Timothy Castagne dakika ya 37 na Duvan Zapata mawili dakika za 39 na 86 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE