KOVALEV AMDUNDA ANTHONY YARDE KWA KO RAUNDI YA 11 URUSI

Anthony Yarde akiwa chini baada ya kuangushwa na Sergey Kovalev raundi ya 11 katika pambano la ubingwa wa dunia usiku wa jana ukumbi wa Traktor Sport Palace, Chelyabinsk nchini Urusi. Kovalev alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya 11 na kufanikiwa kutetea taji lake la WBO uzito wa Light Heavy PICHA ZAIDI GONGA HAPA 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE