TAMMY ABRAHAM APIGA MBILI LAKINI CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2 DARAJANI

Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Chelsea dakika za 19 na 43 kabla ya Sheffield United kusawazisdha kwa mabao ya Callum Robinson dakika ya 46 na Kurt Zouma aliyejifunga dakika ya 89 katika sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE