BOSI WA AZAM TV, TIDO MHANDO ALIVYOWAKABIDHI VYETI WAANDISHI WALIOPIGWA MSASA NA TFF

Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Dunstan Tido Mhando (wa kushoto), akimkabidhi cheti cha uhitimu mafunzo maalum ya wiki moja ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mwandishi wa habari Ramadhani Mwelendo jana hoteli ya Serene mjini Dar es Salaam. Wengine kulia ni Rais wa TFF,. Wallace Karia na Katibu wake, Wilfred Kidau.
CEO wa Azam Media, Tido Mhando akimkabidhi cheti, mwandishi wa habari, Charles Abel 
CEO wa Azam Media, Tido Mhando akimkabidhi cheti, mwandishi wa habari jana hoteli ya Serene  
CEO wa Azam Media, Tido Mhando akimkabidhi cheti, mhitimu wa mafundisho hayo jana
Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu pamoja na vigogo wa TFF


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA