CHELSEA YANG'ARA DARAJANI, YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 2-0

Willian akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 76 kufuatia Jorginho kufunga la kwanza kwa penalti dakika ya 50 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo huo ukiwa ni ushindi wa kwanza kwa kocha Frank Lampard Uwanja wa Stamford Bridge kwenye ligi hiyo 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE