MAHREZ, JESUS NA STERLING WAFUNGA MAN CTY YAIPIGA EVERTON 3-1

Riyad Mahrez akishanglia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 71 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park. Mabao mengine ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 24 na Raheem Sterling dakika ya 84, wakati la Everton limefungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 33. 
  


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA