MAN UNITED YASONGA MBELE KWA USHINDI WA MATUTA CARABAO CUP

Wachezaji wa Manchester United wakipongezana baada ya ushindi wa penalti 5-3 kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Rochdale kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Manchester United ilitangulia kwa bao la Mason Greenwood dakika ya 68, kabla ya Luke Matheson kuisawazishia Rochdale dakika ya 76. Waliofunga penalti na Man United ni Juan Mata, Andreas Pereira, Fred, Greenwood na Daniel James wakati za Rochdale zilifungwa na Calvin Andrew, Aaron Morley na Aaron Wilbraham huku Jimmy Keohane pekee akikosa 



Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA