MAZOEZI YA MWISHO AZAM FC KABLA YA KUWAVAA TRIANGLE UNITED LEO BULAWAYO

Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akijifua Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo jana kuelekea mchezo wa marudiano wa Raundi ya Pili ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Triangle United. Azam FC inatakiwa kushindia kuanzia 2-0 ili isonge mbele, baada ya kufungwa 1-0 Azam Complex Septemba 15.
Mshambuliaji Richard Ella D'jodi kutoka Ivory Coast akijifua Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo jana 
Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' mazoezini jana Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo  
Beki Mghana, Yakubu Mohamed akipiga shuti katika mazoezi ya penalti jana Bulawayo  
Beki Mganda, Nicolas Wadada mazoezini jana mjini Bulawayo tayari kwa mchezo dhidi ya Triangle leo  
Mshambuliaji Shaaban Iddi 'Chilunda' akipiga penalti mazoezini jana 
Beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa akiwa mazozini jana mjini Bulawayo 
Mshambuliaji Iddi Suleiman 'Nado' akijifua jana Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo  
Kipa Mghana, Razack Abalora akiokoa penalti jana Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo 
Winga Iddi Kipagwile akijifua jana Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo    


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA