SIMBA SC WALIVYOJIFUA JANA MWANZA KUJIANDA NA MECHI DHIDI YA BIASHARA UNITED KESHO MUSOMA

Mshambuliaji Mbrazil wa Simba SC, Wilker Da Silva akijifua na wenzake jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Biashara United mjini Musoma mkoani Mara
Beki wa Simba SC, Kennedy Wilson akijifua na wenzake jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kujiandaa kuwavaa Biashara United kesho Uwanja wa Karume mjini Musoma 
Kiungo Mkenya wa Simba SC, Francis Kahata akijifua na wenzake jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza    
Beki wa Simba SC, Ramadhani Haruna Shamte akijifua na wenzake jana CCM Kirumba 
Wachezaji wa Simba SC, Kennedy Wilson wakiwa mazoezini jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza   
Wachezaji wa Simba SC wakijifua jana CCM Kirumba tayari kuwavaa Biashara United kesho mjini Musoma 


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA