VINICIUS JR AANGUA KILIO BAADA YA KUFUNGA BAO LA KWANZA REAL TANGU FEBRUARI

Vinicius Junior akibubujikwa machozi kwa furaha baada ya kuifungia bao la kwanza Real Madrid dakika ya 36, hilo bao la kwanza kwa ujumla katika timu hiyo tangu Februari katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Osasuna usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao la pili la Real Madrid lilifungwa na Rodrygo Goes dakika ya 72 


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA