AZAM FC MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA KAGERA SUGAR CHAMAZI

Mshambuliaji Mrundi wa Azam FC, Suleiman Ndikumana akiwa mazoezini jana kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo hapo hapo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam  
Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo
Mshambuliaji wa Azam FC, Frank Domayo akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo 
Beki Mganda wa Azam FC, Nico Wadada akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE