AZAM FC WAKIJIFUA KUJIANDAA NA MCHEZO WA LIGI KUU DHIDI YA BIASHARA UNITED IJUMAA CHAMAZI
Wachezaji wa Azam FC, kiungo Mudathir Yahya (kulia) na mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma (kushoto) wakiwa mazoezini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Biashara United ya Mara Ijumaa
Mshambuliaji Muivory Coast, Richard Ella D'jodi akijifua jana mazoezini
'Smiling Boy' Iddi Kipagwile akifurahia mazoezini jana kuelekea mechi na Biashara Ijumaa Azam Complex
Beki mkongwe, Aggrey Morris akijifua mazoezini jana kuelekea mchezo huo
Kiungo mshambuliaji Iddi Suleiman 'Nado' akiwa hoi mazoezini jana Azam ikijiandaa na mchezo ujao
Comments
Post a Comment