CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA WEST HAM UNITED PALE PALE DARAJANI

Aaron Creswell akishangilia na mchezaji mwenzake, Robert Snodgrass baada ya kuifungia bao pekee West Ham United dakika ya 48 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London leo 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE