KAMADA AWAPIGA MBILI ARSENAL PALE PALE EMIRATES, WALALA 2-1 KWA FRANKFURT

KIUNGO Mjapan, Daich Kamada (katikati) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Eintracht Frankfurt mabao mawili dakika za 55 na 64 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London, bao la wenyeji likifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 45 na ushei 


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NI YANGA BINGWA KOMBE LA MUUNGANO 2025