CHELSEA WAPIGWA 2-0 NA SOUTHAMPTON PALE PALE DARAJANI

Nathan Redmond akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Southampton bao la pili dakika ya73 kufuatia Michael Obafemi kufunga ka kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE