CHELSEA YAIKANYAGA ARSENAL 2-1 PALE PALE EMIRATES

Mshambuliaji Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 87 ikiwalaza wenyeji, Arsenal 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Arsenal ilitangulia kwa bao la Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 13, kabla ya Jorginho kuisawazishia Arsenal dakika ya 83 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE