KASEJA NA PAWASA WAJITOKEZA MAFUNZO YA DIPLOMA C YA KOZI YA UKOCHA YA CAF

Nyota wa zamani wa klabu ya Simba, kipa Juma Kaseja (kushoto) na beki Boniface Pawasa (kulia) ni miongoni mwa makocha 30 waliojitokeza kushiriki Kozi ya siku 28 ya Diploma C ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) inayoendelea makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Karume, Ilala,  Dar es Salaam  



Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE