BEKI WA KAZI WA AZAM FC, AGGREY MORRIS ANAVYOJIANDAA KUWAKABILI NAMUNGO FC JUMAMOSI UWANJA WA MAJALIWA

Beki wa Azam FC, Aggrey Morris akiwa mazoezini leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC utakaofanyika Jumamosi Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoan Lindi 
Kocha wa Azam FC, Mromania Aristica Cioaba akiwa mazoezini leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC utakaofanyika Jumamosi Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoan Lindi 



Comments

Popular posts from this blog

NI YANGA BINGWA KOMBE LA MUUNGANO 2025

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE