LEVANTE YAICHAPA REAL MADRID 1-0 NA KUIONDOA KILELENI LA LIGA

Wachezaji wa Levante wakishangilia baada ya Jose Luis Morales kufunga bao pekee dakika ya 79 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia 


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA