TWIGA STARS WALIVYOWASILI DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI MICHUANO YA UNAF TUNISIA

Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake, Twiga Stars wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo kutoka Tunisia walipokwenda kushiriki michuano ya UNAF iliyomalizika kwa timu hiyo kushika nafasi ya pili.



Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE