HARUNA HAKIZIMANA NIYONZIMA SASA MUME WA WAKE WAWILI, AOA NA BINTI WA KITANZANIA BAGAMOYO

Kiungo Mnyarwanda wa Yanga SC, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima akiwa na mke wake wa pili, Mtanzania baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Bagamoyo mkoani Pwani

Beki Juma Abdul (kushoto) ni mchezaji mwenzake pekee aliyehudhuria ndoa hiyo ya siri. Mke mkubwa wa Haruna, Naillah Uwineza ni Mnyarwanda mwenzake.



Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE