NYOTA WA SIMBA SC, IBRAHIM AJIBU MIGOMBA ATOA MISAADA VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Ibrahim Ajibu Migomba akikabidhi misaada katika kituo cha watoto yatima cha Umra kilichopo Magomeni Mikumi Jijini jana
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Ibrahim Ajibu Migomba akikabidhi misaada katika kituo cha watoto yatima cha Mayunga kilichopo Kinondoni Moscow Jijini jana
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Ibrahim Ajibu Migomba akikabidhi misaada katika kituo cha watoto yatima cha Mayunga kilichopo Kinondoni Moscow Jijini jana
Comments
Post a Comment