AZAM FC WALIVYOREJEA MAZOEZINI JANA CHAMAZI KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU

Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akikokota mpira jana katika siku ya kwanza ya timu yake kurejea mazoezini  kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Kiungo wa Azam FC, Iddi Suleiman Nado akikokota mpira jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam  
Kiungo wa Azam FC, Frank Raymond Domayo akichezea mpira jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam 
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akikimbia mazoezini wanja wa Azam Complex jana


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA