DANI CEBALLOS AIPELEKA ARSENAL NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

Dani Ceballos akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Sheffield United 2-1 usiku wa jana Uwanja wa Bramall Lane katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Nicolas Pepe kwa penalti dakika ya 25, wakati la Sheffield United lilifungwa na David McGoldrick dakika ya 87 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE