KAPTEN JOHN BOCCO NA KINARA WA MABAO NCHINI, MEDDIE KAGERE WOTE WAPO FITI SIMBA IKIJIANDAA KUIVAA MWADUI FC KESHO

Washambuliaji wa Simba SC, Nahodha John Bocco (kushoto) na Meddie Kagere (kulia) wakiwa makini kwenye mazoezi ya timu yao jana Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui FC kesho Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam
Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Francis Kahata akijaribu kumlamba chenga Nahodha wake, John Bocco  

Hapa Nahodha na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, John Bocco akimtoka mwenzake mazoezini


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA