MASHABIKI LIVERPOOL WAMWAGIKA MITAANI KUSHEREHEKEA UBINGWA

Mashabiki wa Liverpool wakishangilia nje ya Uwanja wa Anfield baada ya taarifa za kutwaa taji la kwanza la ubingwa wa Ligi Kuu ya England ndani ya miaka 30 kufuatia Manchester City kufungwa 2-1 na Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge London 



Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE