POLISI TANZANIA YAWASAJILI YAHYA MBEGU KUTOKA MWADU FC NA DEUS 'SHARO' WA ALLIANCE FC

Beki wa kushoto, Yahaya Mbegu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo aktokea Mwadui FC ya Shinyanga 

Kiungo mshambuliaji Deusdedit Cossmas 'Sharo' (kulia) amesiani mkataba wa miaka miwili kujiunga na Polisi Tanzania kutoka Alliance FC ya Mwanza


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE