RALLY BWALYA NA MAFUNDI WENGINE MAZOEZINI SIMBA SC LEO IKIJIANDAA KUIVAA NAMUNGO FC KESHO ARUSHA

Kiungo mpya wa Simba SC, Mzambia Rally Bwalya akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii kesho dhidi ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Beki Shomari Kapombe akipasua na mpira kwenye mazoezi ya leo ya Simba  
Charles Ilamfya akiwakokota wachezaji wenzake mazoezini leo Arusha 
Beki Kennedy Wilson akimiliki mpira katikati ya viungo Clatous Chama (kushoto) na Jonas Mude kushoto 
Nahodha na mshambuliaji John Bocco akiudhibiti mpira leo mazoezini


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE