STERLING APIGA MBILI MAN CTY YAUA 3-0 NA KWENDA ROBO FAINALI CARABAO


Raheem Sterling akipongzwa na wachezaji baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 35 na 49 katika ushindi wa 3-0 wa Manchester City dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa 16 Bora Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao cup, wakati bao lingine llilifungwa na Ferran Torres dakika ya 65, na kwa ushindi huo wanakwenda Roboa Fainali   




Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE