YANGA SC IMEIPIGA KMKM 2-0 CHAMAZI LEO MABAO YOTE AMEFUNGA KIUNGO MKONGO TONOMBE MUKOKO
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Wachezaji wa Yanga SC wakimpongeza kiungo Mkongo, Tonombe Mukoko baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 11 na 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kdogo ya Jiji la Dar es Salaam
Kiungo Muangola, Carlos Carlinhos akiambaa na mpira kwenye mchezo dhidi ya KMKM leo Chamazi
Wachezaji wa Simba SC kutoka kulia Abdul Mweta, Jumanne Ucheche, Sunday Juma na Method Mogella (sasa marehemu) kabla ya moja ya mechi zao msimu wa mwaka 1990 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam
KLABU ya Simba SC imeafiki kucheza mechi ya marudiano ya Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RSB Berkane ya Morocco Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Awali mechi hiyo ilipangwa kufanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Jumamosi wiki hii — lakini CAF ikaagiza uhamishiwe Zanzibar, ingawa awali Simba walipinga. Taarifa ya CAF iliyosainiwa na Katibu wa Bodi hiyo ya kandanda barani, Mkongo mwenye Uraia wa Uswisi pia, Veron Mosengo-Omba sababu za mabadiliko hayo ni Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao upo katika marekebisho wakati huu kutokuwa tayari kwa mchezo huo Mei 25. Barua hiyo ya Mosengo-Omba iliyoelekezwa kwa Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema kwamba taarifa za kina na za Kitaalamu za wakaguzi wa CAF zinaonyesha Uwanja huo hautakuwa tayari kwa matumizi ya mchezo huo mkubwa wiki ijayo, hususan kutokana na tatizo kubwa la Pitch yake na mvua zinazoendelea hivi sasa Dar es Salaam. Mechi hiyo itaanza Saa 10:00 jioni na Simba unatakiwa kushind...
WACHEZAJI wa Ndovu ya Arusha kutoka kulia kiungo mshambuliaji Francis Lungu (sasa marehemu), beki Rashid Idd ‘Chama’ na kiungo Abdallah Suleiman ‘Kaburu’ kabla ya moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1992 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.
Comments
Post a Comment