IBRAHIM CLASS AMSHINDA KWA POINTI MZAMBIA NA KUTETEA TAJI

Refa akimuinua mkono Bondia Mtanzania, Ibrahim Class baada ya kumshinda kwa pointi, Mzambia Mzambia, Simon Ngoma kwenye pambano la Raundi 10 ukumbi wa PTA, Saba Saba na kufanikiwa kutetea mkanda wake wa GBC uzito wa Feather

Ibrahim Class akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumshinda kwa pointi, Mzambia Mzambia, Simon Ngoma 
Ibrahim Class akivalishwa mkanda wake baada ya ushindi wa jana ukumbi wa PTA, Saba Saba

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE