MAHREZ APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA BURNLEY 5-0 ETIHAD


Nyota wa Algeria, Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Manchester City dakika za sita 22 na 69 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad, mabao mengine yakifungwa na Benjamin Mendy dakika ya 41 na Ferran Torres dakika ya 66
 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE