PRINCE DUBE MPUMELELO AREJEA KAZINI AZAM FC BAADA YA KUKOSEKANA TANGU NOVEMBA MWAKA JANA


Mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo leo amecheza Azam FC ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Malindi SC katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Mao Dze Tungu, Zanzibar, hiyo ikiwa mechi yake ya kwanza tangu aumie Novemba 25 mwaka jana kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC 


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA