YANGA SC YAACHANA NA KIUNGO MUANGOLA CARLOS CARLINHOS ALIYEKUWA ANAANDAMWA NA MAJERUHI MFULULIZO

 

KLABU ya Yanga imemuacha kiungo Muangola, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo, maarufu kama Carlinhos kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya karibu msimu mzima wa kuwa Jangwani. 
Carlinhos hakuwa na msimu mzuri Jangwani tangu asajiliwe Julai mwaka jana kutokana kuandamwa na majeruhi.




Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE