MPIANA MONZINZI NA OBREY CHIRWA WAFUNGA AZAM FC WAITANDIKA COASTAL UNION 3-0 MECHI YA KIRAFIKI LEO CHAMAZI

 TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na washambuliaji, Mkongo Mpiana Monzinzi dakika ya 23, Mzambia Obrey Chirwa dakika ya 85 na kiungo Ismail Aziz dakika ya 90 na ushei.




Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA