AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK, ARSENAL YAUA 6-0


TIMU ya Arsenal usiku wa Jumatano imekonga nyoyo za mashabiki wake baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, West Bromwich Albion kwenye mchezo wa Raundi ya Pili ya Kombe la Ligi England Uwanja wa The Hawthorns.
Mabao ya Arsenal yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang matatu dakika ya 17, 45 na 62, Nicolasa Pépé dakika ya 45, Bukayo Saka dakika ya 50 na Alexandre Lacazette dakika ya 69.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE