YANGA YAMSAJILI KIPA WA MTIBWA SUGAR, MSHERY


KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wake mpya wa pili katika dirisha dogo baada ya kiungo mkongwe, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kutoka Azam FC.





Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE