ZIJUE FAIDA ZA UNGA WA NGANO WA AZAM SELF RISING
Unga wa ngano wa Azam Self raising unakupa faida nyingi sana. Licha ya kuwa laini sana unakupunguzia gharama ya baking powder kwa sababu hauna haja ya kutumia baking powder unapotumia unga huu. Unafaa kwa maandalizi ya keki za aina zote.
Azam Self Raising Wheat flour gives you very many advantages. Despite being super fine it saves you the cost of baking powders as you don't have to use any baking powder when you use this flour. It's very suitable for preparing all kinds of cakes.
Comments
Post a Comment