MAMA MKAPA AKUTANA NA MABOSI TFF, BODI YA LIGI


MWENYEKITI wa mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa  leo ametembelea Makao Makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu, Kidao Wilfred (wa pili kutoka kulia).
Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Mashindano TFF Salum Madadi (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa EOTF, Stephen Emanuel (wa pili kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo (wa kwanza kulia).


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA