MAMELODI YATOLEWA, AHLY YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA


VIGOGO, Mamelodi Sundowns wametupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Atlético Petróleos ya Angola katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali hivyo kutolewa kwa jumla ya mabao 3-2, kufuatia kuchapwa 2-1 kwenye mechi ya kwanzq Jijini Luanda wiki iliyopita.
Mabingwa watetezi, Al Ahly wao wametinga Nusu Fainali baada ya kulazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Raja Club Athletic jana Uwanja wa Mfalme Mohamed wa 5 Jijini Casablanca na wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia kushinda 2-1 Cairo wiki iliyopita.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NI YANGA BINGWA KOMBE LA MUUNGANO 2025