SIMBA SC WAENDA SUDAN KUCHEZA NA KOTOKO NA HILAL


KIKOSI cha Simba SC kimendoka Ijumaa Alfajiri ya leo kwenda Sudan kushiriki michuano maalum ya timu tatu, kwa mwaliko wa wenyeji, El Hilal.
Wakiwa huko, Simba watamenyana na Asante Kotoko ya Ghana Jumapili kabla ya kumalizana na wenyeji, El Hial Jumatano ijayo, Agosti 31 kisha watarejea nyumbani kwa ajili ya mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Djibouti, AS Arta Solar.




Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE