YANGA YAINGIA MKATABA WA MASOKO NA JACKSON GROUP LTD



RAIS wa Yanga SC, Mhandisi Hersi Said na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jackson Group Limited, Kelvin Twisa baada ya kusaini mkataba wa ushirikiano kwenye Idara ya Masoko kwa miaka miwili leo Jijini Dar es Salaam.
Katika mkataba huo, Jackson Group itakuwa na jukumu la kuitafutia Yanga wadau na makampuni ya kuwekeza kwenye klabu hiyo kongwe nchini.





Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE