AZAM FC YATOA SARE 1-1 NA TP MAZEMBE NDOLA


TIMU ya Azam FC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Levy Mwanawaswa Jijini Ndola nchini Zambia.
Bao la Azam FC limefungwa na kiungo mshambuliaji Muivory Coast, Kipre Junior dakika ya 36, kabla ya Zemanga kuisawazishia TP Mazembe dakika ya 57.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE