MSHAMBULIAJI MSERBIA, DEJAN ATANGAZA KUONDOKA SIMBA SC


MSHAMBULIAJI Mserbia, Dejan Georgejevic ametangaza kuondoka Simba baada ya kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo.
“ Ninathibitisha kwamba Mkataba wangu wa Ajira umesitishwa kwa sababu za haki kutokana na ukiukwaji wa kimsingi wa Mkataba na Klabu,” ameandika Dejan katika ukurasa wake wa Instagram na kuongeza;
“Asanteni mashabiki kwa support na upendo mlionipa,”.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NI YANGA BINGWA KOMBE LA MUUNGANO 2025