NEEMA SIMBA QUEENS, YAPATA UDHAMINI MNONO WA M-BET


TIMU ya Simba Queens leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiriki ya M-Bet wenye thamani ya Tsh. bilioni moja.
Simba Queens itaanza kutumia jezi zenye nembo ya M-Bet kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

KYLLIAN MBAPPE NDIYE MFALME MPYA WA MABAO HISPANIA

PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA LAZIO