YANGA SC YAICHAPA GEITA GOLD 1-0 KIRUMBA NA KUWEKA POZI KILELENI


BAO la penalti la winga Mghana, Bernard Morrison dakika ya 45 na ushei limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Yanga inafikisha pointi 20 katika mchezo wa nane na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tano zaidi ya Namungo FC na Mtibwa Sugar ambazo pia zimecheza mechi tisa kila timu.




Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA