HATIMAYE UWANJA WA JAMHURI WA DODOMA WAFUNGULIWA


HATIMAYE timu ya Dodoma Jiji itaanza tena kuchezea nyumbani mechi zake za Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia Bodi ya Ligi kuufungulia Uwanja wa Jamhuri uliopo Dodoma.
Tangu mwanzo mwa msimu, Dodoma Jiji wamekuwa wakichezea mkoa wa jirani, Singida mechi zao za Ligi Kuu, ambayo imeemelezwa kama sababu Kuu ya timu hiyo kufanya vibaya.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE