NAMUNGO FC YAIPIGA DODOMA JIJI 1-0 SINGIDA


BAO la Abdulmalik Hamza dakika ya 82 limetosha kuipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI, Singida.
Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 18 katika mchezo wa 13, ingawa nafasi ya nane, wakati Dodoma Jiji inabaki na pointi zake tisa za mechi 12 nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE